
Mama mitindo Asya Idarous Khamsin Jumamosi May 21,2011 alirudi tena Seattle,WA kupagawisha kwenye Khanga Mitindo Night iliyonyanyika mjini humo kwa ajili ya kusaidia kuchangisha pesa ya kituo cha kulelea watoto cha Mwangaza Jitegemee,May 27,2011 Asya Idarous Khamsin atakua Columbus,OH,tayari kuwasha moto kwenye The Return Of Memorial Weekend Bash ambayo mwaka huu imerudi kwa nguvu zote.

Juu na chini Asya akiwa na baadhi ya models wake kwenye Khanga mitindo Night ya Mwangaza Jitegemee Foundation

Models wakifanya vimbwanga vyao.
kwa picha zaidi bonyeza Read more
Picha zaidi baadae(picha zote kwa hisani ya Ahmad Shirazy)













No comments:
Post a Comment