ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 23, 2011

Rachel & Neema's Holy 1st Communion

Rachel(shoto) na Neema ambao walipata komunio yao ya kwanza Jumapili May 22,2011
Rachel na Neema wakiwa na wakomunika wenzao.
Rachel na Neema wakipata u-kodak na mjomba na Babu wakiwa pamoja na wadogo zao
Rachel(shoto) na Neema wakiwa kwenye sherehe yao ya komunio yao ya kwanza ilyofanyika Powder Mill na New Hamphire ,Maryland,Jumapili jioni,May 22,2011
Hii ndio keki yao Maalum kwa ajili ya siku hio muhimu kwao,Rachel na Neema(Bernice)
Juu na chini ni Rachel na Neema wakimlisha keki Baba  yao,Marco Mbullu
Juu na chini Rachel na Neema wakimlisha keki Mama Neema
Juu na chini Rachel na Neema wakimlisha keki mama Rachel
Juu na chini Rachel na Neema wakiwalisha keki mama zao wa Ubatizo
Rachel na Neema wakimlisha keki Aunt yao kutoka Tanzania Stella ambae ni dada yake Mama Neema
Rachel na Neema wakimlisha keki Bibi yao ambae ni Mama yake na Mama Rachel
Rachel na Neema wakimlisha keki mjomba ambae ni kaka yake Mama Neema.
Kwapicha zaidi bonyeza Read more

No comments: