Mbunifu wa Mavazi Ally Rehmtullah (katikati) akitoa msaada kwa kituo cha Mkombozi Day Care Centre kinacholea watoto 75 wakiwamo yatima 16 ambapo msaada huo umedhaminiwa na Mbunge wa Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji na Flaviana Matata Foundation. Katika tukio hilo lililofanikishwa na Ally Rehmtullah pia alikuwepo msanii wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz ambaye alitoa burudani kwa watoto. Kulia ni Mkurugenzi wa kituoa hicho Maurus Michael.
Chi Chi Chidi Benz akishow love na watoto.
Ally Rehmtullah akifurahi na watoto wa Mkombozi Day Care Centre.
Ally Rehmtullah akifurahi na watoto wa Mkombozi Day Care Centre.
Picha kwa hisani ya www.mohammeddewji.com/blog




No comments:
Post a Comment