NEW YORK TANZANIAN COMMUNITY
YAANZISHA
ZANZIBAR FUND ACCOUNT
BANK OF AMERICA
ROUTING # 021000322
ACCOUNT # 483036511177
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio New York,New Jersey,Pennsylvania na Connecticut umefungua account maalum ya kuwasaidia wahanga wa ajali ya boti iliyotokea Zanzibar ikielekea Pemba na kuuwa zaidi ya abiria 250.
Uongozi umeona umuhimu wa kufanya hivyo ukiamini kwamba wako Watanzania na wasio Watanzania wengi walioguswa na msiba huu na wangependa wasaidie bila kujua waanzie wapi,hivyo basi uongozi wetu umefungua account hiyo na utaisimamia na kuhakikisha michango hiyo inawafikia walengwa.Uongozi unawaomba tushirikiane katika kuwasaidia ndugu zetu ili tuzifariji familia hizi aidha kwa kuwafikiria wajane ama mayatima watakaotokana na ajali hii.Tujitahidi kuonyesha mapenzi na utaifa wetu kwa kuwafariji viumbe hawa waliokumbwa na mtihani huu pasi na kutarajia.Tujitahidi angalau tujaribu kufuta machozi ya ndugu zetu hawa.
Account hii iko wazi kwa kila mwenye kuweza kuchangia popote alipo.Uongozi wetu unakaribisha maoni ama maswali kutoka kwa yeyote atakaeguswa na habari hii.Tafadhali kwa pamoja tuhakikishe taarifa hii inamfikia kila mmoja wetu.Mchango hauna kidogo haba na haba hujaza kibaba.
Maoni : H.Khamis 347 623 8965
V.Mughway 240 952 5404
DR.A.Byabusha 914 584 7502
HAJJI KHAMIS
CHAIRMAN
NEW YORK TANZANIAN COMM.

No comments:
Post a Comment