AJALI YA NDEGE ILIYO TOKEA KILOMETA 15 KUTOKA UWANJA WA NDEGE WA KIA JANA USIKU
Picha ya ndege iliyo dondoka ikitoka KIA usiku wa jana ambapo kulikuwa na Pilot aliye fariki dunia papo hapo anatambulika kwa jina la Ally na abiria mwengine ambae yupo KCMC kwa matibabu zaidi.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake