Malkia wa mipasho, Khadija Kopa akipokelewa katika uwanja wa ndege wa London Heathrow, akiwa tayari kabisa kwa shoo yake itakayofanyika tarehe 29/10/2011 jijini MILTON KEYNES, UK.
Khadija Kopa (katikati) akiwa amepozi na Director wa Infinity Ent's pamoja na Swagga Nights UK, Mr. Yusuf Masai (kushoto), kulia ni Mr Abdul wa African Splash.
Khadija Kopa akisindikizwa kwenye gari kuelekea MILTON KEYNES, kwa ajili ya Shoo yake ambayo inategemewa kuwa kati ya show kubwa zilizowahi kufanywa na Waaafrica UK.
Picha kwa hisani ya GPL
No comments:
Post a Comment