
Bendi ya Shule ya Sekondari Jitegemee ikitoa burudani mbele ya wageni waalikwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam

Wanafunzi wa shule ya Jitegemee kwa upande wa kwaya wakitoa burudani katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania na miaka 66 ya Umoja wa Mataifa.

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja na kupokelewa na Mwenyeji wake Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Alberic Kacou
Kwa picha zaidi Bofya Hapa
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake