Mabalozi wakiangalia meza ambayo ilivunjwa wakati akiuawa kwa risasi Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume.
Kiongozi wa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini,Juma Mpango, akisoma dua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume, mabalozi walipotembelea kaburi hilo jana
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, marehemu Abeid Amani Karume, eneo la Kisiwandui, Zanzibar.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini, pamoja na mtoto wa hayati Karume, Balozi Ali Karume (kulia waliokaa).
Picha hiyo walipiga katika lango la kaburi la Karume, mjini Zanzibar jana.
Picha zote na Tagie Mwakawago na Assah Mwambene
1 comment:
okey watanzania tunaushikamano kwa style hii tutafika by the way.lakini dj luke ungeenda www.tanzaniakwetu.com na kuisajili hiyo blog yako it will be good for creating more traffic na kuitumia www.jigambeads.com ili kupata matangazo zaidi.
Post a Comment