ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 27, 2011

Rais Jakaya Kikwete Australia

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu mtendaji wa kampuni ya kuzalisha mafuta ya Shell Bwana Guy Outen jijini Perth Australia 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi mkuu wa CommonwealthBusiness forum Dkt.Mohan Kaul mjini Perth, Australia ambapo anahudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola. 
Mpiga picha wa Televisheni akiwa tayari kwa kazi kabla ya kuanza kwa mkutano huo
Hii pia ni Sehemu maalumu ya kufanyia kazi waandishi wa habari watakaohabarisha matukio mbalimbali ya mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola (CHOGM ) mjini Perth Australia kuanzia ktoba 28- 30 Okt. 2011 . Mkutano wa CHOGM hufanyika kila baada ya miaka miwili.
Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO na Freddy Maro-IKULU 

No comments: