Saturday, October 29, 2011

TIMU YA HOUSTON YAIBANJUA TIMU YA WICHITA 3-2

Timu Ya Houston
Timu ya Wichita
Mechi kati ya Houston toka Texas na wenyeji Wichita Jumamosi October 29,2011 zilizoumana katika mchezo mkali na uliokua wa kusisimua muda wote.Hii ilikua mara ya tatu kwa timu ya Houston kutia mguu Wichita,mara mbili za mwanzo timu hii ya Houston ilikula kipigo.

Ushindi huu wa Houston umepokelewa kwa nguvu zote na mashabiki wa timu hiyo Houston,Texas,"sasa kazi iliyokua inatuleta huku tumeimaliza"alisikika Alune Mwasabwite timu kepteni wa timu hiyo kongwe na moja ya timu chache zinazosafiri hapa Marekani.

Houston inatarajia kuondoka baadae usiku huu kurejea,Houston,Texas.

3 comments:

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake