Monday, October 24, 2011

WALIBYA WAPANGA FOLENI KUUSHUHUDIA MWILI WA KANALI GADDAFI

Mwanahabari wa Daily Mail, Andrew Malone akiushuhudia mwili wa Kanali Muammar Gaddafi.
Wakazi wa Libya wakihushuhudia mwili wa Kanali Gaddafi na kuupiga picha.
MAMIA ya wakazi wa Libya jana walikusanyika kuhushuhudia mwili wa Muammar Gaddafi. Mwili wa Gaddafi ulikuwa umehifadhiwa katika chumba kimoja kilichopo eneo la biashara mjini Misrata, ambapo ulipelekwa siku ya Alhamisi alipouawa.
Wakazi wa Libya wakiwa wamezunguka uzio wa nyumba ulikowekwa mwili wa Kanali Gaddafi
Wakazi wa Libya wakipanga foleni kusubili zamu yao kuingia kuangalia mwili wa Kanali Gaddafi
Wananchi hao wakiwa katika foleni kwenda kuuona mwili wa Kanali Gaddafi jana mjini Misrata.


Picha na Daily Mail, AFP/Getty, Reuters na Jamie

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake