Ajali mbaya iliyotokea mida ya saa nane mchana jijini Washington,DC Toyota Camry imepiga miguu chini haikujulukana mara moja sababu ni nini.
Makutano ya Barabara ya Connecticut na R NW mahala ilipotokea ajali hiyo.
Kila mtu anashangaa sehemu hii unaenda Mile 25 kwa saa sasa hatujui jamaa huyu alikua anakimbia kiasi gani au kakutana na kitu gani haikuweza kujulikana mara moja.
No comments:
Post a Comment