watu wanaotaka ushauri kuhusu nywele walioko Dar wafike dukani ARISE BEAUTY SUPPLY kuanzia Nov 22 mchana hadi Dec 7, Sandy- pichani aliye simama atakuepo kutoa ushauri, yeye ana salon huko Wisconsin Nchini Marekani na anatumia products za Ebenezer Hair Food. Namba ya dukani ni 0714311283 na 0784521171.
1 comment:
website ni www.ebenezer-arisebeauty.com
Post a Comment