Friday, November 4, 2011

FLASH BACK

 Frank Mung'ong'o, Athuman Ligagiti (anafanya kazi police Kilimanjaro), Mussa Sechonge, Eric Muumba (doctor Muhimbili), Jeremiah (yupo Botswana). Huyu mshikaji wa kulia naikumbuka sura ila sikumbuki jina lake na sijui yupo wapi hivi sasa. 

2 comments:

  1. hahahaaa.....hii picha imenikumbusha <walimu Mashanga, andrew Kwayu na Mzee Meja, duuu....shule yangu hii. Hii ni mwaka gani? Sam Malonja,

    ReplyDelete
  2. Nafikiri hii ni class of 92.Wanne toka kushoto nahisi ni Joel Kalanje,watatu na watano kushoto nakumbuka sura ila nimesahau majina yao.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake