ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 11, 2011

Ibada ya Kiswahili iliyofanyika Novemba 6 2011,Columbus,Ohio

 Watoto waliohudhulia misa na wazazi wao
 Mishumaa ikiandaliwa
 Mchungaji Vitalis Kyulule kutoka Illinois aliongoza ibada
picha juu na chini  washirika wakisikiliza mahubiri mazuri yaliyowagusa wengi
 Wanakwaya walitumbuiza kwa nyimbo zao maridadi
 Kaka Kelvin aliturushia ibada hewani kupitia radio mbao. 
Picha Juu na chini ni washirika wakiwasha Mishumaa 

No comments: