
King Kiki akifanya vitu vyake alipopagwisha Houston,Texas,siku ya Jumamosi November 19,2011

Ngouma Lokito wa Soukous Stars nae alikuwepo hapa akionyesha umahiri wake wakupiga gitaa la bezi

Lokassa ya Mbongo akifanya vitu vyake

Maestro King Kiki akipagawisha wadau Houston

Andy Swebe(shoto) akiwa na Lokossa ya Mambongo

Bendi inayoshirikiana na Maestro King Kiki ikifanya vitu vyake Houston.

Dj Issar wa Houston

Wadau wakipata picha ya pamoja

wakina dada nao hawakua nyuma kwele enzi hizo za kamanyola si mchezo

Kijana wa zamani akiwa tayari kuselebuka

Ndugu yangu mgosi wa kaya akiselebuka na vijana wenzake wa zamani
Kwa picha zaidi Bofya Read more





kidada mmekolea kwa kweli raha jipe mwenyewe!!
ReplyDelete