ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 14, 2011

KING KIKII KUFANYA SHOW KUBWA HOUSTON, TEXAS - NOV 19

MWANAMUZIKI MAARUFU KING KIKII AKISHIRIKIANA NA WAKONGWE WA MUZIKI WA SOUKOUS LOKASSA YA MBONGO NA NGOUMA LOKITO, WATAFANYA ONYESHO LA KUKATA NA SHOKA NDANI YA JIJI LA HOUSTON NCHINI MAREKANI MNAMO NOVEMBER 19. KING KIKII AMBAYE AMBAYE PIA AMEAMBATANA NA WAPIGA MAGITAA HODARI MANENO UVURUGE NA ANDY SWEBE, ATABURUDISHA WAPENZI WA MIZIKI YA RUMBA KWA VIBAO VYAKE MAARUFU KAMA SALAMULE, MIMI NI MSAFIRI, KITOTO CHAANZA TAMBAA, NA BILA KUSAHAU KIBAO MOTOMOTO KIITWACHO KITAMBAA CHEUPE. MAANDALIZI YA SHOW YAMESHAKAMILIKA NA TIKETI ZINAPATIKANA KWA KUPIGA NAMBA 952 - 486 - 3828. SHOW ITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CELEBRATIONS PARTY HALL, KTK ADDRESS 6237 HWY 6, HOUSTON, TX 77083 (HAPA NI HWY 6 & ALIEF CLODINE au HARWIN). WAHI TIKETI MAPEMA $15 PER PERSON, $25 PER COUPLE IN ADVANCE. PIA KUTAKUWA NA ZAWADI FOR THE 3 BEST DRESSED COUPLE. USIKOSE ONYESHO HILI LA KIHISTORIA.

ASYA IDAROUS NAE ATAKUWEPO KUPAGAWISHA MASHABIKI HOUSTON

1 comment:

Anonymous said...

Asya Keep it up!!!!!