Tamia akiwakilisha na chata ya VIJIMAMBO alipokua Kijiji cha Swahili kilichopo Beltsville,Maryland Nchini Marekani.
Tamia(kulia)akipiga picha na rafiki yake walipokua Kijiji cha Swahili,Ijumaa November 11,2011
Moyor(shoto) akipata picha na shemeji yake
John Sita akipata na schoolmate wake
Wadau wakipata picha ya pamoja.
Tamia kwenye Ukodak Moment.
Warembo kwenye Ukodak Moment
Kutoka shoto ni Taji,Chande na Mayor
Aj Real wa pili toka shoto akipata picha na warembo
Tamia (kulia)na mmoja ya shangazi zake akipata picha ya kumbukumbu
Juu na chini ni wadau wakipata Ukodak Moment.
Wadau wakipata Picha ya pamoia
No comments:
Post a Comment