Kutoka shoto ni Nassoro Basalama,Tony Ntirugelegwa,Sama Temu(aliesimama) na Rev.Caleb Migombo
Kushoto ni Mume wa Marehemu Tony Ntirugelegwa akiwa na mmoja ya wageni waliofika nyumbani ,kwa ajili ya msiba wa Lucky uliotokea siku ya Ijumaa November 11,2011 saa 5 asubuhi.
Kutoka shoto ni Hamfrey Owen,Denis Geofrey na Feisal Omar wakiwa kwenye msiba wa Lucky ambae ni alikua Shemeji ya Hamfrey na Shangazi ya Denis.
Kutoka shoto ni Feisal Omar,Shabani Mwampambe,Simon Marko na Eliud
Watanzania wa Durham,North Carolina wakijumuika pamoja kwenye msiba wa Lucky.
Mnada wa kuchangisha pesa za mazishi ya Lucky ambayo yanatarijiwa kua Jumanne na kuaga mwili ni kesho Jumatatu November 14,2011,mpaka jana jumamosi zimechngishwa $ 6,530 na pesa inayohitajika ni $ 15,000 kuwezesha maziko ya Lucky,Mpaka Vijimambo ilipokua inaondoka kwenye msiba Harambee ilikua inaendelea kwa hiyo tutawaletea pesa zitakazokua zimepatikana kwenye Harambee hii.
Watanzania wa North Carolina wakiendelea na Harambee ya msiba wa Lucky uliokua ukifanyika mjini Durhan.
shoto ni Kulwa akitoa pesa ya moja ya khanga iliyokua ikinadiwa kwenye Harambee hiyo iliyokua ikiendelea kwenye msiba huo wa Lucky uliopo Durham,NC.
Watanzania wakiendelea na mnada.
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye msiba wa Lucky,Durham,NC.
Pesa za mnada zikiendelea kuingia.
Wakina mama wa North Carolina wakiendelea na mnada wa msiba wa Lucky.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment