Maestro King Kiki(kati) akinyanya vitu vyake mjini Leominster,Massachusetts,Nchini Marekani Jumamosi November 5,2011 na hii ilikua zawadi tosha ya Eid Al Hajj kwa wakaazi wa Massachusetts.
King Kiki akiimba wimbo wa kitambaa cheupe na kuwaacha hoi wakazi wa Massachusetts Jumamosi ya November 5,2011 mjini Leominster,Nchini Marekani.
Wakazi wa Massachusetts wakipagawika na wimbo wa kitambaa cheupe.
William Malecela(shoto) toka New York nae alikua ndani ya House hapa akipata picha ya pamoja na Lokassa ya Mbongo
Wadau waliofika kwenye show ya Maestro King Kiki wakipata picha ya kumbukumbu
Mama mitindo Asya Idarous Khamsin(wapili toka kulia) nae alikua ndani ya nyumba akionyesha mavazi toka nyumbani aliokujanayo mahususi kwa ajili ya show hii. wengini ni Khamsin(wapili toka shoto),Biwi Malima(kulia) na Rich
kutoka shoto ni Khamsin,Rich,Asya Khamsini na Isaac Kibodya
Wadau wakipata picha ya pamoja huku wakiburudika na muziki wa King Kiki.
Wadau kibao walikuwepo wakikumbuka enzi hizo za muziki wa kamanyola na masantula
Kwa picha zaidi Bofya Read More
1 comment:
Bwana Luka... mbona sijaona ukipost hata video moja ya King Kiki akiwa live kwenye stage? Au hataki Ma-blogger mrekodi? tuna hamu ya kuona rumba live jamaa yangu. Sijaona tokea live video posting tokea kwenye party ya DACOTA, ya DC mpaka hii uliyo post sasa ya Boston hakuna kideo? kulikoni? Ni hayo tu mkuu.
Post a Comment