Mashabiki wa wangumi wakiangalia mpambano
Juu na chini ni Bondia Mussa Mohamedi (kulia) kushoto akioneshana ufundi wa kutupa makonde na John Christian wakati wa mashindano ya Kova Cup Dar es salaam jana Mussa alishinda kwa point
Bondia Sunday Elius akipambana na Abdallah Kasimu wakati wa mashindano ya Kova Cup Dar es salaam jana Kasimu alishinda kwa point.(Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake