Nina mipira ya soccer nane, ninatakiwa kutafuta mpira mmoja wenye uzito mkubwa zaidi ya mingine,mipira mingine saba ina uzito sawa na mipira yote nane ina umbo moja.
Nimepewa mizani miwili na natakiwa niiweke mipira kwenye mizani mara mbili tu ilikuweza kujua ni mpira gani uliozidi uzito.
Je nitumie mbinu gani?
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake