Monday, November 14, 2011

KUTOKA KWA TWITWI KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Twitwi akiwa amependeza akiwa nje ya kiota cha "The Shrine"kiliopo katikati ya jiji la Chicago,Illinois,Nchini Marekani Jumamosi November 12,2011 alipofanya kutoka na rafiki zake katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo itakua kesho Jumanne November 15,2011
 Twitwi(kati) akiwa na rafiki zake Mwasi(shoto)na Joyce siku ya Jumamosi November 12,2011 ndani ya kiota cha"The Shrine"kilichopo katikati ya jiji la Chicago,Illinois,Nchini Marekani alipofanya kutoka kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
 Kutoka shoto ni Mwasi,Twitwi na Joyce wakiwa ndani ya kiota cha "The Shrine"wakisherehekea siku ya kuzaliwa ya Twitwi.
 Twitwi na Mayo kwenye Ukodak Moment ndani ya kiota cha " The Shrine" katikati ya jiji la Chicago,Illinois,Nchini Marekani.
 Twitwi na Mayo wakiselebuka na hapa ulikua ukipigwa wimbo mpya wa Sean Paul unaoitwa Got 2 Luv U aliyeimba kwa kushirikiana na Alexis Jordan.
 Mwasi akipata Ukodak moment huku akivuta pumzi kidogo baada ya kuselebuka mfululizo katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya rafiki yake Twitwi(hayupo pichani)
 Shoto ni Kymon akipata Ukodak Moment na Mwasi
 Hapa kutoka kulia ni Joyce,Mwasi na Kymon wakivuta pumzi na kulainisha makoo ndani ya kiota cha "The Shrine".
 Joyce akivuta pumzi baada ya kuselebuka sana katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya rafiki yake Twitwi(hayupo pichani) ndani ya kiota cha "The Shrine".
 kutoka shotoni Joyce,Twitwi na Mwasi wakipata Ukodak moment kwenye kutoka siku ya kuzaliwa ya Twitwi siku ya Jumamosi November 12,2011 katikati ya jiji laChigago,Illinois,Nchini Marekani.
 Mwasi na tabasamu lake la kuvutia akiwa ndani ya kiota cha "The Shrine"alipokua na Joyce(hayupo pichani) kwenye mtoko wa siku ya kuzaliwa ya Twitwi.Aliyekaa kulia na mdau aliyekuwemo ndani ya kiota hicho ambae jina lake halikupatikana.
 Mwasi akipozi kupata Ukodak moment.
Twitwi na Mwasi wakipata Ukodak Moment.

1 comment:

  1. happy Birthday my dear Tinna. Wishing you many more happy years. Much love
    ...from Boston

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake