Uwanja wa ndege Mwanza leo ulikumbwa na mafriko yaliyosababishwa na mvua zilinyesha mfululizo saa nne na kupelekea kusitisha safari za anga kuelekea na kutoka mji huo unaojukana kwa jina maarufu Rock City.
Maji yakiwa yameingia ndani ya chumba cha kupitia wasafiri huku wafanyakazi wa uwanja huo wakijaribu kuweka mambo sawa.
Ndege ya Pricision Air ilibidi isitishe safari zake za kuelekea na kutokana Mwanza kutokana na uwanja wa ndege kukumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha takribani saa nne mfululizo.
Picha kwa hisani ya mdau G.Sengo na Michuzi Blog.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake