ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 15, 2011

MVUA ZILIVYOLETA MAFUKIO KWA WAKAZI JIJINI DAR

Baadhi ya magari yaliyokwama kwenye matope.
KUNYESHA kwa mvua mfululizo siku za hivi karibuni katika jiji la Dar es Salaam kumesababisha mafuriko katika viunga mabalimbali vya jiji hilo. Mtandao huu ulitembelea maeneo ya viwanja vya Biafra-Kinondoni jijini Dar na kushuhudia moja ya shehemu zilizofikwa na mafuriko.
Dereva akitafuta namna ya kulitoa gari lake lililokwama.
Shehemu nyingi zilizungukwa na maji yakiwemo majengo.
Fenicha zilizoathirika kwa kunyeshewa mvua.
Habari/Picha: Na Brighton Masalu, /GPL

No comments: