Wakazi wa eneo hilo wakishuhudia moto baada ya kuwa wameokoa mali za watu...
Moto Ukiwa umepamba Moto huku wanajeshi wakiwa wanafanya Juhuzi za kuzima
wanajeshi wakiendelea kuzima moto
Wanajeshi wakifanya kazi kwa ushirikiano wa ukaribu kabisa kuokoa mali za watu
Wanajeshi wakiendelea kuzima Moto zaidi Kunusuru mali na maisha ya wakazi eneo Hilo
wanajeshi wakiendelea kuzima moto wakati kikosi cha kuzima moto kikisubiriwa ambacho kiliwasili baada ya moto kuwa umedhibitiwa kwa 99%
Gari Maalum la zima Moto likiwa eneo la Tukio Saa moja baada ya moto Kutokea
Baadhi ya Vitu vilivyo okolewa
(Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog)
1 comment:
Hawa wanajeshi wamezoea kurusha watu vichra chura wacha wapate habari Yao na wao
Post a Comment