Tuesday, November 8, 2011

RAIS KIKWETE AWAANDALIA PRINCE CHARLES NA MKEWE DUCHESS OF CORNWALL DHIFA YA KITAIFA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa waliyowaandalia jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika hafla hiyo.
 Rais Dkt Jakaya Kikwete akinyanyua glasi juu kuwatakia afya wageni wake na msafara wao.
 Makofi baada ya hotuba ya Rais.
 Prince Charles akisoma hotuba yake.
 Duchess of Cornwall akimpongeza kiongozi wa bendi ya brass ya Polisi baada ya kutumbuiza vyema.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA IKULU BLOG

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake