Dj Luke na Dj Seif Tunatoa shukrani za dhati kwa wakaazi wa Claymont,DE na Philly,PA na vitongoji vyake kwa kuunga mkono Simba Tropical Grill siku ya Jumamosi November 12,2011,Tunawaahidi tutarudi tena hapo Kusheherekea Uhuru na Jamhuri siku ya Jumamosi December 10,2011 hapo hapo Simba Tropical Grill.Asanteni,Asanteni,Sana
No comments:
Post a Comment