Monday, November 14, 2011

TAARIFA ZA SHUKRANI


kwa niaba ya familia ya Tony Ntirugelegwe
 
Napenda kutanguliza shukrani kwa ndugu,jamaa na marafiki wote kwa ushirikiano mkubwa mliouonyesha katika kipindi kigumu hiki kwa familia ya Tony Ntiru.
Jumla ya pesa za mazishi zilizo changwa ni$15,019.72 na pesa zlizokuwa zinahitajika kukidhi gharama ni $15,000.00
 
Ahsanteni sana, tena sana nyote.
 
M/Mungu awazidishie na awafungulie kila kilichofungika na chenye kheri.
Upendo dawa.
 
Nassor Ally
Mwenyekiti wa UTNC

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake