Kwa Ndugu,jamaa na marafiki
Napenda kuwatangazia nyote sala ya marehemu Lucky na chakula cha jioni, itakayo fanyika leo JumanneNovember15,2011 kuanzia saa kumi jioni(4PM). katika anuani ifuatayo;#3400 Balfour West,Durham NC 27713
Nyote mnakaribishwa kwa kufanikisha shughuli hii.
Ahsanteni sana
Nassor Ally,Chairman
UTNC & TCLA
P.O.Box 52531
Durham,NC 27717
UTNC GENERAL ELECTION NOVEMBER 26,2011
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake