Kikundi cha THT waliokuja maalumu kwenye sherehe za kutimiza miaka mitano mpango wa kutokomeza malaria katika nchi za Africa, MALARIA NO MORE, na Tanzania ikiwa nchi moja wapo. Hapa THT wakiwa na Wadau walikutana nao kwenye LUNCH ya Usiku mjini New York na kupata ukodak Moment,Kutoka kushoto ni kijana Moris anaesoma New York na Capital A pia anaefanya shughuli zake New York City,Barnaba,Ditto,FDQ, Lina na NY Ebra..picha kwa hisani ya NY Ebra mwana glob ya jamii kutoka jiji hilo la wasiolala..,New York City.
No comments:
Post a Comment