Wednesday, November 9, 2011

Ujumbe wa upinzani wa Syria wazuiliwa na waandamanaji

Ujumbe wa Baraza la Mpito la Syria ulikua na mkutano na Umoja wa nchi za Kiarabu kujadili hatua za kuchukuliwa huko Syria, lakini walizuiliwa na waandamanaji mjini Cairo. Kwa Habari zaidi Bofya Hapa

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake