ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 16, 2011

WADAU WETU WA FACEBOOK PAGE

TUMEVUMBUA MTINDO WA KILA SIKU KATIKA http://swahilivilla.blogspot.com/ KUWEKA (WAPENZI WETU WA FACEBOOK PAGE KWA KILA SIKU ) 

NITUMIE PICHA ZENU NDANI YA INBOX YANGU AU HATA KATIKA PROFILE YANGU. PICHA ZIAMBATANE NA MAELEZO PAMOJA NA SALAMU KWA WAPENZI UWAPENDAO. KUFANYA HIVYO KUTATOA CHANGAMOTO YA UKUWAJI WA JAMII YETU KATIKA MAZINGIRA UA UPENDO KWA JAMII YETU HII TUIPENDAYO SHKRAN! TUPENDANE

ANGALIA MFANO HAI NEANI YA: http://swahilivilla.blogspot.com

No comments: