Sunday, November 13, 2011

WAJIZOLEA ZAWADI ZA EID AL HAJJ,DMV

viongozi wa TAMCO wakijiandaa kutoa zawadi kwa wale ambao walibahatika kupata zawadi Eid Al Hajj
 mshindi wa kwanza mama wa mwenyekiti wa TAMCO Mh. Idd Sandali akiwa amejishindia digital camera.
 mshindi wa pili akipata picha na watoa zawadi akiwa na nyuso ya furaha kwakujipatia digital camera
 familia ya bwana Mrisho nayo ilijishindia zawadi ya wireless keyboad na mouse yake.
 zawadi hiyo ilielekea kwa familia ya bwana Abdulmalik
 kadi ya pizza hut yenye thamani ya dola ishirini ($ 20) nayo ilimuendea mgeni wetu kutoka nyumbani tanzania Bi Khadija, na zawadi nyengine nyingi, TAMCO inawashukuru wale wote waliojaaliwa kuhudhuria na wale wasiojaaliwa mara hii Mungu awajaalie mwakani nao tuwe nao, pia inawapongeza wale wote waliojipatia zawadi za eid al hajj(picha kwa hisani ya Mayor wa DC,Saleh Mohammed)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake