Mbunge wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji "MO" akisalimiana na waumini wa kanisa la FPCT wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha vijana wa Kanisa hilo.
Kwaya ya vijana ya kanisa la FPCT wakitumbuiza katika hafla fupi ya kumkaribisha Mbunge MO DEWJI ndani ya kanisa hilo
Mh. Mohammed Dewji akijumuika na Vijana
Askofu mkuu wa kanisa la FPCT Paul Samwel akimkabidhi zawadi ya Mbuzi MO kama shukrani ya kutembelea kanisa hilo.

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini MO akiambatana na vionozi wa kanisa la FPCT kuelekea kwenye uzinduzi wa kituo cha vijana wa kanisa hilo.
:Mbunge MO akizindua kituo cha vijana cha kanisa la FPCT eneo la Mwenge mjini Singida, anayeshuhudia na Askofu Mkuu wa kanisa hilo Paul Samwel .
MO Akihutubia waumini wa Msikiti wa Rahman Kindai, katika halfa hiyo MO alichangia mifuko 500 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Msikiti huo.(Picha zote na MO BLOG).

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake