DIAMOND AWEKA UHUSIANO WAKE BAYANA NA MPENZI WAKE...!!!
Msanii wa kizazi Kipya Diamond Platinum Akiongea na Miss Jestina Goerge kuhusu show zake London na kuweka wazi uhusiano wake yeye na Wema Sepetu. Kwa more exclusive pictures na Interviews visit http://www.jestina-george.com/
3 comments:
Anonymous
said...
Noo,, huyu anaye interview kakosea ,alipaswa kumuuliza jee vipi kuhusu wema kulalamika kwenye ma tv? na vipi kuhusu jokate,,? ili ukweli ujulikane,, na vipi kuhusuvideo yake ya nimpende nani?
naona hapa kuna mchezo wa kuchezeana akili sasa tuelewe nini huyo dimond yupo huko london tunasikia demu wake ana lalamika anaibiwa na maneno yamtoka utafikir nini na amesema wameshaachana sasa na huyo dimond anaulizwa anasema anampenda baby wake hahahaha wtu bwana mnavisa hebu tuwekeeeni mambo sasa
dj luka hebu mtwangie sim dimond atuambie kuhusu hio issue inakaaje kaaje nakuamini sana

childish conversation
Post a Comment