Friday, February 24, 2012

ATLANTA, GA PATAKUA HAPATOSHI NI OLDSKUL ZA KUFA MTU, JULY 14, 2012

2 comments:

  1. Ni 14 tu au na 13. More info tupangilie vidudu

    ReplyDelete
  2. kuna ma babista huko? maana watu tuna watoto siku hizi bana, kwa hiyo we ride as family. na je kuna activities za watoto kwa hizo siku wakati wa mchana?CHONDE CHONDE msije mkatulia pesa zetu kama watu wa Ohio.inabidi Dj Denis awepo kati ya maDj watakao kuwepo.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake