Friday, February 24, 2012

HABARI NA MATUKIO:MAMA ASIA IDAROUS KHAMSIN ASHEREKEA KUFIKISHA MAONYESHO 100 YA MITINDO, JIJINI DAR

Keki ya kutimiza shows 100 za Mitindo.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akiwakaribisha wageni katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam. Pembeni yake ni mbunifu wa mavazi Rio Paul na mwanzake.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Gadner Habash ambaye ni mmiliki wa mgahawa wa Nyumbani Lounge katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mmoja ya wanamziki wa Kalunde bandi na Deo Mwanambilimbi ambaye ni mmiliki wa bendi hiyo katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Victor Chashmir katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mwandishi wa gazeti la Dimba, Jonathan Tito katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Belina Mgeni katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Hamoup Lukelezi katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mbunifu wa mavazi katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani mbunifu wa mavazi Bw. Gabriel Mollel wa Sairiam design katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.

Kwa picha zaidi Bofya Read more
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Kajuna katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha pongeni kwa Ali Salim (kulia) kuwa Mbunifu Bora wa Kiume anayechipukia kwa mwana 2012, katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akiwa katika picha ya pamoja na wabunifu wa mitindo pamoja na wanamitindo mara baada ya kumaliza kugawa vyeti katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akikata keki katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam. Wanaoshangilia ni wabunifu wa mavazi wenzake.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akikata keki kwa kusaidiwa na mbunifu wa mavazi Gabriel Mollel katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimlisha keko mmoja ya watu wanaomuunga mkono.
... hapa ilikuwa zame yake kulishwa
Mwanangu pokea keki
...huku jamaa akitoa burudani keki nayo anakula
 
akishow love na mwanae.

(Picha kwa hisani ya http://kajunason.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake