Wednesday, February 29, 2012

BIRTHDAY YA MZIWANDA

Mziwanda wa Linda na Mali, Narrika-Marlinda akiwa mwenye furaha siku ya sherehe ya Siku yake ya kuzaliwa ilyofanyikia Atlanta, GA.
Narrika akiwa na mama yake, Linda
Narrika akiwa na baba yake, Mr Mali.
Wageni waalikwa wakiandaa kupata maakuli.
Linda akiandaa maakuli.
Wageni waalikwa wakipata maakuli.
Linda wa pili toka kushoto akipata picha ya pamoja na wageni wake.
Mataam wa michezo ya watoto akifanya vitu vyake.
Watoto wakifurahia michezo kutoka kwa mtaalam wa michezo ya watoto.
Wageni waalikwa wakipata ukodak moment.

2 comments:

  1. Happy 1st Birthday Narrika!MAY ALAH PROTECT AND BLESS YOU AND YOURS .Amen!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake