ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 29, 2012

Mabalozi wapya wa Tanzania nchini Ubelgiji na Oman wamuaga Rais Dkt.Jakaya Kikwete ikulu

Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr.Diodorus Kamala akiongea na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga leo asubuhi.
Balozi Mpya wa Tanzania nchini Oman,Mh.Ali Ahmed Saleh akiagana na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi kabla ya kuondoka nchini(Picha na Freddy Maro)

1 comment:

Anonymous said...

UTAWALA WA TAKRIMA