
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Zambia, Christopher Katongo akishangilia baada ya timu hiyo ya Zambia kuwa mabigwa wapya wa AFCON

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zambia wakishangilia ushindi wa matuta 8-7 walioupata zidi ya Ivory Coast kwenye mpambano wa kihistoria wa fainali ya AFCON zillichezewa Libreville, Gabon

Ulikua ni mpambano wa kihistoria pichani ni mshambuliaji wa Ivory Coast, Max Gradel (kulia) akichuana vikali na mlinzi wa timu ya Zambia, Davies Nkausu kwenye fainali ya AFCON iliychezewa Libreville, Gabon.

Nahodha wa Timu ya Zambia, Christopher Kitonga (kushoto) akichuana vikali na mlinzi timu ya Ivory Coast, Souleiman Bamba kwenye mpambano huo wa fainali.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake