Sunday, February 26, 2012

MAULID YA MFUGO SITA DMV YAFANA.

Watanzania wa DC,MD na VA (DMV) wakijumuika pamoja kwenye Maulid ya mfungo sita iliyofanyikia Hillandale Park, Silver Spring, Maryland, Jumamosi Feb 25,2012.
Wakina mama wakiwa na watoto wao nao wakijumuika pamoja kwenye Maulid ya mfungo sita iliyofanyika Jumamosi Feb 25, 2012.
Watanzannia wa DMV wakijumuika pamoja kwenye Maulid ya Mfungo sita iliyofanyikia Hillandale Park, Silver Spring.
 Wakina mama na watoto wakiwa kwenye maulid ya mfungo sita iliyofanyika Jumamosi Feb 25, 2012.
Watanzania wakijuumuika pamoja kwenye Maulid ya mfungo sita iliyofanyikia Hillandale Park Silver Spring, Maryland.
 Wakina mama wakijumuika pamoja kwenye Maulid ya mfungo sita iliyofanyikia Hilandle Park, Jumamosi Feb 25, 2012.
Waina baba wakiwa kwenye Maulid ya mfungo sita iliyofanyika Jumamosi Feb 25, 2012.
Wakina mama wakiwa na watoto wao wakijumuika pamoja kwenye Maulid ya mfungo sita Jumamosi Feb 25, 2012.
 
Mautadh wakipata picha ya pamoja kwenye Maulid ya mfungo sita iliyoanyikia Hillandale Park, Silver Spring, Maryland.
Wakina mama wakiwa na watoto wao wakijumuika pamoja kwenye Maulid ya mfungo sita ilyofanyika Jumamosi feb 25,2012.
Watanzania wakijumuika pamoja kwenye Maulid ya mfungo sita iliyofanyikia Hillandale Park, Siliver Spring, Maryland.
Wakina baba na wakina mama na watoto wa DMV wakijumuika pamoja kwenye Maulid ya mfungo sita ilyofanyikia Hillandale Park, Silver Spring, Maryland.
Wakina mama na watoto wakiwa kwenye Maulid ya mfungo sita Jumamosi Feb 25, 2012.
 
Juu na chini ni Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja kwenye Maulid ya mfungo sita hapa wakipata maakuli.
Kwa picha zaidi Bofya Read More









3 comments:

  1. huu ni mfungo saba jamani msitupoteze si mfungo sita.

    ReplyDelete
    Replies
    1. samahani kwa kufikiria labda hatukumbuki kuwa mfungo sita umeshapita lakini kumsalia kumfurahiya kwa kuzaliwa bwana mtume MUHAMMAD (S.W.A) nisivibaya na kama unakumbuka nyumbani TANZANIA hadi mfungo tisa bado watu wanesheherekea kwa kuzaliwa kwa bwana mtume ni maandalizi na mipango na muda ndio unafanya siku kuwa ni mbali khususan huku ulaya.natumai utanielewa SHUKRAN.

      Delete
  2. shukrani mzee wa vijimambo kwa kujali utanzania,kwa kutuhabarisha na kuonyesha kuwa jamii ya kitanzani inaishi duniani kote.mola ukuzidishie yote yalo na kheri kwake na yenye manufaa nawe,inshallah.
    mdau washington

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake