Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika akiwa amepigwa risasi na kufariki papo hapo wakati wa vurugu kati ya wananchi na polisi mjini Songea leo.
Damu iliyomwagika baada ya mtu huyo kupigwa risasi mgongoni.
Polisi wakipambana na wananchi wakati wa vurugu hizo.
Mwandishi wa TBC 1 akiwa amejificha wakati wa machafuko hayo.
Chanzo: LATESTNEWZ BLOG




3 comments:
sioni kama kulikua na haja ya kumwaga damu, huu ni unyama, Tanzania tunaelekea wapi??? na tunasema tuna amani, hii ndio amani? aibu.
halafu comment moja tu! na mtu amekufa kwa kutetea mauaji ya watu wanouliwa bila sababu. sisi watanzania ni mambumbu sana. kwenye picha za party za Dallas, mzee Yusuf na look of the day comment mia kidogo. Mungu akulize mahali pema damu yako itakumbukwa na kutetea wanyonge siku moja
its me again : kweli ndugu yangu wabongo tunasikitisha sana,mambo ya maana hatuchangii ila upuuzi tuko mbele sana!!
Post a Comment