Sunday, February 5, 2012

PICHA ILIYOCHUKUA TUZO KWENYE ALAMBA..HAAAM

Ni Missy Temeke (gauni kijani) akiwa na Editha Lyimo wakipagawa na Taarab ya mfalme Yusuf aliyepagawisha Jumamosi Feb 4, 2012 Rockville MD .

5 comments:

  1. Warembo mmependeza saaaana, mashalah.
    Lakini Dj Luke acha ubaguzi wa picha...unaweka watu wako hao hao kiila siku kama wengine hawapo. Sio vizuri cha mara kila mtu anatamani kupigwa hizo picha yakhe. Asante kwa kujirekebisah

    ReplyDelete
  2. Kizuri chajiuza KIBAYA chajitembeza.Dj do ur GOOD work.

    ReplyDelete
  3. Missy-Temeke, Looking STUNNING .Wallahi denda linanibwagika!

    ReplyDelete
  4. Kunawengine wanasema hawataki kuonekana kwenye mitandao so naona wanaheshimu request za watu hao wengine.lkn kazi nzuri tulienjoy sana mambo ya mzee yusuf superrrrrr.

    ReplyDelete
  5. Miss Temeke rocks always on point umependeza sana fashionista wetu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake