Sunday, February 26, 2012

RASHIDI MATUMLA ASHINDA KWA POINT

Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashid Matumla Wakioneshana umwamba wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Matumla alishinda kwa point.
Refarii Antoni Luta katikati akimnyoosha mkono juu bondia Rashidi Matumla kuashiria ushindi dhidi ya mpinzani wake maneno Osward kushoto wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Matumla alishinda kwa point
(Picha kwa hisani ya superd Blog)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake