Wednesday, February 8, 2012

SAMAKI MKUBWA KATIKA BANDARI YA KARACHI, NCHINI PAKISTAN

Wavuvi wakijaribu kumtoa Papa nje ya bahari kwenye bandari ya Karachi, Nchini Pakistan.
Winchi likimnyanyua Papa huyo toka majini .
Umati wa watu waloifurika kushuhudia Samaki huyo mkubwa baada ya kutolewa majini katika bandari ya Karachi, Nchini Pakistani.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake