Thursday, February 23, 2012

VIJIMAMBO'S 2 YEARS ANNIVERSARY SOCCER TOURNAMENT,MARCH 31, 2012 TIMU SASA KUWA SITA

DC NYARUGUSU(WAZEE WA DOZI) FROM DC
HOUSTON (SERENGETI BOYZ) FROM TEXAS
BURUNDI FROM ARIZONA
STARS UNITED

SENEGAL DC

TANZANITE FROM ATLANTA GA
Mechi zitaanza kuchezwa kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 12 jioni timu zote zinatakiwa kufika siku ya Ijumaa March 30, 2012 nimatumaini ya Vijimambo timu zote zitafanya hivyo, kama kuna mabadiliko tafadhali toa taarifa mapema. mechi zitachezewa uwanja wa Walker Mail Turf Field uliopo karibu na uwanja wa FedEx

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake