Amb Amina S. ALI, Mwakilishi wa Umoja wa Afrika akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanya biashara wa San Fransisco California nchini marekani. Picha ya pili, wapili kutoka kushoto Bw Richard Siyombo mtendaji mkuu wa shirika la maendeleo na biashara ya California na Mwakilishi wa serikali wa mamlaka ya biashara ndogo wa California (US Small bussiness administration ) katika kikao cha kukuza uwekezaji baina ya US na Afrika mwishoni mwa wiki hii.

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake