Advertisements

Thursday, March 29, 2012

China na Marekani zakubaliana kuwa na msimamo wa pamoja kuhusiana na Korea kaskazini

Rais Barack Obama akipeana mikono na rais Hu Jintao wa China ili kuanza mazungumzo ya pande mbili huko Seoul Korea Kusini.
China ina wasi wasi na Pyongyang kutokana na kutaka kurusha kombora na kusema ushawishi wake wa kisiasa kwa nchi hiyo ni mdogo. Kwa habari zaidi Bofya hapa

No comments: