Leo siku ya Leba a.k.a Lil Miss "DMK" ambapo Jumapili ya Feb 4, 2012 alifanyiwa hafla ya kusherehekea Birthday yake iliyojumisha Watoto wenzake waliokua na wazazi wao ilyofanyikia IMAGINATION KIDS iliyopo Bethesda, Maryland.

Lil Miss DMK akimchumu baba yake.

Lil Miss DMK akipata ukodak moment na baba yake.

Lil Miss DMK (kulia) akiwa na mtoto mwenzake huku baba yake akipiga picha nao.

Keki ya Birthday ya Lil Miss DMK.

Lil Miss DMK akionyesha moja ya zawadi alizopata.

Lil Miss DMK akiwa na Baba yake.

Lil Miss DMK (kati) akiwa na Watoro wenzake.

Lil Miss DMK (kushoto) akicheka na kula pozi la picha.

Lil Miss DMK akiwa na watoto wenzake waliojumuika nae kwenye hafla fupi ya siku yake ya kuzaliwa.
Wazazi nao wakipata chochote walipokua kwenye Birthday ya Leba.
Kwa picha zaidi bofya read more

Lili Miss DMK akiwa na baba yake kwenye siku yake ya kuzaliwa, Bethesda, Marylang
Juu na chini ukumbi umepambwa umepambika.
DMK (kulia) akiwa na Manasse huku Lill Miss DMK






No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake